Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba amewatahadharisha na kuwaonya watumaji wa Cryptocurrency (Sarafu Mtandao) wajiepushe na huduma hiyo ambapo wapo katika hatari ya kupata hasara endapo ikitokea madhara kwenye mfumo huo wajue kwamba hakuna namna ya kuzirejesha fedha zao
Hayo ameyasema Jijini dar es salaam wakati wa Uzinduzi wa Ripoti ya FinScope 2023